Jeremiah 14:10

10 aHili ndilo Bwana asemalo kuhusu watu hawa:

“Wanapenda sana kutangatanga,
hawaizuii miguu yao.
Hivyo Bwana hawakubali;
sasa ataukumbuka uovu wao
na kuwaadhibu kwa ajili ya dhambi zao.”
Copyright information for SwhNEN